THISDASO EVENTS

RETREAT.

WANACHAMA WA THISDASO KANDA YA IRINGA WALIOHUDHURIA KATIKA MKUTANO WA RETREAT ULIOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SECONDARY YA KIMATAIFA ST. MARY'S JIJINI DAR ES SALAAM April MWAKA HUU, USIPANGE KUKOSA RETREAT YA KIMATAIFA ITAKAYO FANYIKA UGANDA MWEZI December MWAKA HUU KATIKA CHUO KIKUU CHA BUGEMA.

Hii ilikuwa ni wakati tunajiandaa kuondoka katika viwanja vya mkutano, kwakweli wewe uliyekosa mwombe Mungu usikose tena katika mikutano kama hii.... IT IS NOT GOOD!! M


VIWANJA VYA MKUTANO





HAWA NI WACHUNGAJI WALIOKUWEPO KATIKA MKUTANO HUO MKUBWA
Waweza kujionea wachungaji waliokuwa wakiubariki mkutano pamoja na umatu mkubwa wa wanamkutano nyuma yao wakiendelea kubarikiwa na vipindi vilivyokuwa vikiendelea....


VIONGOZI WETU NAO HAWAKUWA NYUMA

Hawa ni baadhi ya viongozi wa THISDASO kanda ya iringa awamu iliyopita wakiwa katika muda wa utambulisho wa viongozi kanda mbalimbali, ni hakika walipendeza..



KWAYA ZILIKUWEPO HAKUNA MFANO

Hii ni kwaya ya kanda ya DAR ES SALAAM  wakiongozwa na waimbishaji wawili ni furaha iliyoje?


Hii ki kwaya ya kanda ya ziwa wakiwa wanaubariki mkutano..........



TOUR


Kama kawaida ya mikutano mizuri kama retreat, muda unatengwa kwa ajili ya kuyashuhudia yale mukuu ambayo MUNGU hutuwezeza kufanya katika maisha ya kawaida, ikiwa ni pamoja na uumbaji wa MUNGU, huu ulikuwa muda ambao hakuwepo aliyechoka ! kila mmoja alikuwa na shauku kubwa ya kujionea yaliyomo katika jiji la Dar kama magorofa, barabara nzuri, wingi wa magari, uwanja wa taifa, duka kubwa kuliko yote Tanzania, bahari ya hindi, viwanja vya maonesho sabasaba, lifti (elevators), ngazi zinazotembea zenyewe na mengine mengi yasiosimulika..!!!

KAMA HII ILIKUWA NI HAPA TZ VIPI UGANDA AMBAPO TUTAONA CHANZO CHA MTO NILE NA KUSHUHUDIA UUMBAJI WA MUNGU WA AJABU SI HIVYO TU KUTANA NA NCHI ZAIDI YA TANO KATIKA KUMTUKUZA MUNGU WETU, UBARIKIWE KWA MAANA HUPANGI KUKOSA KATIKA RETREAT YA UGANDA (ECD RETREAT) MWEZI DECEMBER 24th-29th 2012. this will never come again in your life time DON'T MISS.


3 comments:

Johanes Emmanuel said...

SABATO NJEMA WANA WA MUNGU. Ningependa kujua kuhusu mkutano wa Uganda kama mwanachama naweza kufanya nn ili kushiriki katika mkutano huo.

THISDASO IRINGA ZONE said...

Shalom Mr. Johanes,
tafadhali tembelea E-mail yako (please check on your E-mail) kwani majibu ya swali lako yametumwa huko, asante bwana akubariki pia..

THISDASO IRINGA ZONE said...
This comment has been removed by the author.