Tuesday, June 19, 2012

ZONE CALENDAR


*NEW*
KALENDA YA MATUKIO (IRINGA ZONE) 2012/2013
MWEZI
TAREHE
(MA) TUKIO
MHUSIKA
JUNE
2012

i)                 Kuhimiza ukusanyaji wa mapato ya chama i.e ada ya uanachama nk. (always in progress)
i)                 Wahazini.
ii)                Viongozi wa matawi na kanda
15/06/2012
i)                 Mfungo T.U
wanachama wote
22/06/2012
i)                 Kutembelea tawi la RUCO
i)                 Viongozi wa kanda

i)                 Ufunguzi wa kwaya ya kanda
ii)                Viongozi na waalimu wa kwaya zote ndani ya kanda
JULY-SEPTEMBER
2012

LIKIZO
WOTE
OCTOBER
2012

i)                 Kutembelea tawi la kleruu (kleruu teachers college)
i)                 Viongozi wa kanda
15/10/2012
Mfungo T.U
Wanachama wote
NOVEMBER
2012
4-17/11/2012
i)                 Wiki (semina) ya uamsho na matengenezo
Viongozi
15/11/2012
Mfungo T.U
Wanachama wote
17/11/2012
i)                 Joint mass.
ii)                Hitimisho semina ya uamsho na matengenezo
Wanachama wote
18/11/2012
i)                 Kukaribisha mwaka wa kwanza (welcome first year.
i)                 Mwaka wa kwanza
ii)                Viongozi
iii)               Wanachama wote


i)                 Kutembelea tawi la mkwawa (MUCE).
Viongozi wa kanda
DECEMBER
2012
9/12/2012
i)                 Uinjilisti (Kugawa vitabu & vijuzuu).
ii)                Kutembelea wahitaji (wafungwa & wagonjwa)
Wanachama wote kanda.

i)                 Kutembelea tawi la Tumaini (TU-IUCo)
Viongozi wa kanda
15/12/2012
i)                 Joint mass
                     (tathimini,            kujiandaa retreat ye ECD – Uganda).
ii)                Mfungo T.U
Wanachama wote kanda
24-29/12/2012
i)                 ECD Retreat, Bugema university – Uganda.
Wanachama wote
JANUARY
2013

Kutembelea tawi la CDTI
Viongozi wa kanda

i)                 Joint mass,
ii)                Halmashauri kuu (general assembly)
Wanachama wote kanda.
13/01/2013
Tamasha la michezo (viwanja vya MUCE)
Wanachama wote kanda
15/01/2013
Mfungo T.U
Wanachama wote
FEBRUARY
2013

i)                 Mahubiri ya hadhara (effort).
Likizo
Wanachama wote kanda.
15/02/2013
i)                 Mfungo T.U
Wanachama wote
15/03/2013
Mfungo T.U
Wanachama wote
MARCH
2013
30/03/2013
i)                 Joint mass,
ii)                Kutembelea yatima,
iii)               Kutembelea shule ya secondary (tosamaganga)
Wanachama wote kanda.
APRIL
2013

Kutembelea tawi la DONBOSCO
Viongozi wa kanda

i)                 Joint mass
-        Uimbaji
-        Kujiandaa/tathimini ya retreat T.U.
-        mKuchagua baraza la uchaguzi.
i)                 Wanachama wote kanda.

Retreat T.U – morogoro
Wanachama wote

i)                 Uchaguzi wa viongozi wapya kanda (2013/2014)
i)                 Baraza la uchaguzi
(wanachama)
MAY
2013
12/05/2013
i)                 Mahafali (graduation ceremony) – kuwaaga wahitimu 2013
i)                 Wahitimu,
ii)                Kamati ya mahafali,
iii)               Wanachama wote

i)                 Joint mass.
ii)                Halmashauri kuu. (general assembly).
iii)               Makabidhiano (handing over).
i)                 Wanachama wote.
ii)                Viongozi - (ending/beginning)
Website: thisdasoiringazone.blogspot.com            E-mail: thiringazone01@gmail.com
SCHEDULED BY THISDASO IRINGA ZONE EXECUTIVE COMMITTEE
Prepared : Secretary general 2012/2013

No comments: